YUSUPH MANJI AFARIKI DUNIAAliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi wa Kampuni ya Qualify Group LTD, Yusuph Manji, amefariki Dunia jana Jumamosi, Juni 29, 2024 huko Florida nchini Marekani alikokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa za kifo cha Manji zimethibitishwa na mtoto wake Mehbub Manji.

Taarifa zaidi kukujia...

CHANZO: MWANANCHI_OFFICIAL

https://www.instagram.com/p/C82EkrttuaP/?igsh=MXBteTU3N3JzZm5xYQ==

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post