JINSI NILIVYOSHINDA KESI YA KUSINGIZIWA MAHAKAMANI

Siwezi kusahau tukio la kusingiziwa wizi na Bosi wangu kitu kilichopelekea kusota Mahakamani kwa miaka mingi hadi pale ambapo Jaji alisoma hukumu na kuonekana sina hatia. Hivyo nikawa nimeshinda kesi hiyo ingawa kila mtu alijua ningefungwa kutokana aliyenishtaki alikuwa mwenye uwezo mkubwa kifedha na maarufu.

Jina langu Duchu, nilikuwa nafanya kazi ya ulinzi nyumbani kwa Bosi wangu, nilifanya kazi hiyo kwa miaka zaidi ya 13 na niliipenda sana lakini mkasa niliyokuja kukutana nao kwa Bosi wangu huyu wa mwisho ndio ulinifanya kuachana na kazi hiyo licha ya kumshinda Mahakamani.

Nakumbuka usiku mmoja nikiwa katika lango la Bosi wangu nilisikia harufu ambayo sikuweza kubaini mara moja ni ya kitu gani, lakini ilikuwa ni ya chemikali inayotumika na majambazi  kupumbaza walinzi na wenye nyumba kisha kuwaibia mali zao.

Basi baada ya kuvuta harufu ile nilisinzia pale pale, majambazi wale walitumia nafasi hiyo kuingia ndani na kuvunja na kuiba mali, bahati mbaya zaidi siku hiyo Bosi wangu hakuwepo bali mkewe na watoto wake.

Nilikuja kuzinduka baada ya muda, nilisikia watu wakilia ndani, nilipofuatilia waliniambia kumeibiwa na kuniuliza nilikuwa wapi, niliwaambia hata sielewi ni jambo gani lilotokea.

Siku iliyofuata Bosi wangu alikuja na kunihoji, lakini akahisi mimi nilishirikiana na majambazi wale kumuibia, ghafla nilikamatwa na kufikishwa Polisi kuhojiwa, nilishikiliwa Polisi kwa siku mbili kisha nikapelekwa Mahakamani na kufunguliwa kesi ya wizi.

Watu walikuwa wananiambia Bosi wangu huyu ameshafunga watu wengi kwani hajawahi kushindwa kesi Mahakamani kutokana na nguvu ya fedha aliyonayo. Hapo ndipo rafiki yangu mmoja, Kakii aliponiambia kuwa niwasiliane na Kiwanga Doctors kwa namba +255763926750 na atanisaidia kushinda kesi hiyo maana sikuhusika na wizi kivyovyote vile.

Niliwasiliana naye na akanitoa hofu kuwa nitashinda kesi hiyo bila hofu yoyote ile, basi nikawa na hudhuria Mahakamani kila tarehe iliyotajwa huku Bosi wangu akiwakilishwa na Wanasheria wake wabobezi ambao wamemsaidia kushinda kesi nyingi.

Basi siku ya hukumu kusomwa Bosi wangu naye alikuja Mahakamani, Jaji aliyesoma hukumu ile alisema baada ya kusikiliza pande zote mbili amejiridhisha pasina shaka kuwa sina hatia hivyo akatangaza kuwa nipo huru.

Hata hivyo, Bosi wangu na Wanasheria wake hawakuridhika na uamuzi huo maana ilikuwa ndio mara yao ya kwanza kushindwa Mahakamani, hivyo wakaamua kukata rufaa.

Lakini hata hukumu nyingine ilipokuja kutolewa bado niliibuka mshindi, ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye alitarajia. Wengi walijua kwamba nitafungwa.

Kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +255763926750 au +254769404965

Mwisho.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post