Usajili wa Watahiniwa wa Kujitegemea wa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (FTNA) 2024 umeanza tarehe 01/01/2024 na utafungwa tarehe 29/02/2024.