NIDA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA SHINYANGA


Afisa Usajili NIDA Mkoa wa Shinyanga, Nathanael Njau akimwelezea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kushoto) kuhusu huduma zinazotolewa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)  alipotembele Banda la NIDA Shinyanga wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Sheria Mkoa wa Shinyanga leo Jumamosi Januari 27,2024 katika Uwanja wa Zimamoto Mjini Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post