Ameyasema hayo mkoani Morogoro leo Novemba 22, 2023 wakati akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Baraza la 23 la wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Amesema Serikali tayari imeandaa mazingira wezeshi ya kuongeza nguvu katika matumizi ya Tehama , ili kuendana na kasi ya utandawazi
Kwa upande wake Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Williamu Mwegoha
ameeleza mafanikio mbalimbali ya Chuo hicho ikiwemo kukamilisha ujenzi wa hostel ambazo zitabeba zaidi ya wanafunzi 1026, kuongezeka kwa udahiri wa wanafunzi na kufikia asilimia 17.3%.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Prof. Elisante Ole Gabriel, akizungumza wati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la 23 la wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Saida Yahya Othman (kulia) akiteta jambo na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima akisoma hotuba yake wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la 23 la wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Sehemu ya watumishi wa chuo hicho.
Sehemu ya watumishi wa chuo hicho. (PICHA ZOTE NA EMMANUEL MASSAKA,MICHUIZI TV)
Social Plugin