BONANZA LA HALOTEL ‘UNI-BANG CONCERT’ LAFANA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI TAWI LA KIZUMBI SHINYANGA

Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi Manispaa ya Shinyanga .

Na Mwandishi wetu Malunde 1 Blog Shinyanga.

KAMPUNI ya simu ya Halotel  imetoa furaha kwa wanafunzi wa chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Tawi la Kizumbi mkoani Shinyanga kupitia bonanza lake la ‘Uni-Bang Concert’ lililofanyika katika uwanja wa chuo hicho na kuhudhuriwa na wanafunzi pamoja na Wakufunzi wa chuo hicho.

Bonanza hilo lililofanyika Novemba 25,2023 lilipambwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya ,Wana mitindo ,pamoja na michezo ya aina mbalimbali kama vile Netiboli, soka na mingineyo.

Akizungumza kuhusu na bonanza hilo Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri alisema bonanza  hilo lina lengo la kuimarisha uhusiano baina ya Halotel na wanafunzi wa vyuo ndani ya mkoa huo.

‘Toka mtandao wetu umeanza hapa nchini tumejikita katika kuhakikisha tunaboresha huduma za simu nchini, lakini kwa upekee kabisa tumekuwa tunawapa wanafunzi huduma bora na nafuu zaidi’ alisema Frank.

Bonanza hilo lilianza majira ya saa mbili asubuhi kwa michezo ya aina mbalimbali kama vile Netiboli ,Mpira wa kikapu pamoja na soka ambapo katika mchezo wa Netiboli timu ya wanafunzi wa mwaka wa pili na mwaka wa tatu iliibuka na ushindi dhidi ya timu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza.

Kwa upande wa mchezo wa soka zilicheza timu mbili ambapo ilianza timu ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza dhidi ya timu ya wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu ambapo timu ya mwaka wa kwanza iliibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya timu ya wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu.

Katika mchezo mwingine , timu ya wanafunzi wa kiume wa mwaka wa kwanza imeifunga timu ya wanafunzi wa mwaka wa pili na wa tatu magoli 2-1.

Michezo hiyo kwa ujumla imewafurahisha wanafunzi wengi ambapo pia wanafunzi hao walipata wasaa wa kujiunga na huduma za mtandao huo wa simu kama vile kununua laini, kujiunga vifurushi na mengineo.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Chuo hicho Beatrice Karia ameushukuru uongozi wa kampuni ya halotel mkoa wa Shinyanga kwa kuweka mkakati wakuwafikia wanafunzi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati na kuwaunganishia huduma za vifurushi vya bei nafuu huku akiwaomba viongozi wa halotel kuendeleza kampeni hiyo.

‘Tunawashukuru sana Halotel kwa kufanikisha bonanza hili, na kama unavyoona wanafunzi wamepata nafasi ya kuburudika lakini pia kubadilishana mawazo’ alisema Beatrice.
Wanafunzi waliosajili laini za Halotel wakikabidhiwa zawadi zao.
Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .

Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .
Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .
Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .

Meneja wa Kampuni ya Halotel mkoa wa Shinyanga Frank Mashauri akiwakabidhi zawadi washindi katika bonanza la michezo lililofanyika katika uwanja wa chuo kikuu cha ushirika Moshi Tawi la kizumbi Manispaa ya Shinyanga .Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post