Picha : CHONGOLO ATETA NA VIONGOZI MBALIMBALI TAMASHA LA KIZIMKAZI


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akizungumza jambo na viongozi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulidi, wakati wa hitimisho la Wiki ya Tamasha la Kizimkazi, lililofanyika eneo la Paje, Zanzibar, Agosti 31, 2023, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post