RAIS SAMIA AMPOKEA RAIS WA HUNGARY MHE. KATALIN NOVAK IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimpokea mgeni wake Rais wa nchi ya Hungary Mhe.Katalin Novak alipowasili Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchini jana Julai 17,2023 kwa ajili ya ziara yake ya siku tatu.
Rais wa nchi ya Hungary Mhe.Katalin Novak akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchi hapo jana Julai 17,2023 kwaajili ya ziara yake ya siku tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akipata picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa nchi ya Hungary Mhe.Katalin Novak alipowasili Ikulu leo Julai 18,2023 Jijini Dar es Salaam. Rais Novak amewasili nchi hapo jana Julai 17,2023 kwaajili ya ziara yake ya siku tatu.

PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post