NAIBU WAZIRI BYABATO ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA NCHI WANACHAMA WA EASTERN AFRICA POWER POOL (EAPP) NCHINI UGANDA


Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Eastern Africa Power Pool (EAPP) uliofanyika nchini Uganda tarehe 21 Julai 2023.


Katika mkutano huo kulijadiliwa mambo mbalimbali ikiwemo jambo muhimu zaidi la namna bora ya kusimamia biashara ya kuuza na kununua nishati ya umeme miongoni mwa nchi wanachama.
Naibu Waziri, Wakili Stephen Byabato akichangia mada katika Mkutano wa Mawaziri wa EAP.
Mawaziri kutoka Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda, Ethiopia, Burundi, Libya na Misri walioshiriki katika Mkutano huo wa EAPP.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments