ALIYENITAPELI KSH200,000, ANIPATIA KSH2 MILIONI

Nilifanya biashara mjini Kisii, Kenya, biashara yangu ya uuzaji wa vyombo vya muziki ilikuwa imenoga katika kaunti nzima na hata kuenea katika ukanda mzima wa mkoa wa Nyanza. Nilitamani hata kufanya biashara zingine ambazo zingeleta mapato zaidi kwani biashara ndio ilikuwa kitu ambacho nakipenda sana maishani.

Nilikutana Jackson ambaye alikuwa ni mratibu katika wizara ya magereza kwenye kaunti nzima ya Kisii, aliniambia kuwa kuna kazi anataka kunipa ambayo ilikuwa ni usambazaji wa bidhaa za mbalimbali kama vyakula katika magereza mbalimbali katika kaunti hiyo.

Hapo nilifahamu fika kwamba Mungu alikuwa amesikia kilio changu cha kutafuta riziki nyingine kando na uuzaji wa vyombo vya muziki, hii ilikuwa fursa nzuri kukutana na viongozi wenye ushawishi kwenye kaunti hiyo.

Jackson aliniambia alihitaji hongo ya Ksh200,000 kwani tenda ile ilikuwa ya muda wa miaka 10 na kuwa iwapo ningechelewa kumpa fedha zile basi angetafuta mtu mwingine ambaye angechukua nafasi yangu, sikusita na hapo nilienda kwenye akiba yangu na kumpatia kiasi hicho cha fedha.

Tulikutana kwenye hoteli moja mjini Kisii na hapo nikampa fedha zile zikiwa kwenye mkoba kwani sikutaka wahudumu wa hoteli ile wagundue nini kilichokuwa kinaendelea pale.

Kazi ilikuwa ianze ndani ya wiki mmoja lakini baada ya wiki kuisha nilienda kwenye ofisi za magereza ili kujua lini nitaanza kazi ukizingatia kuwa Jackson alikuwa amenipa stakabadhi zote kama msambazaji Mkuu.

Nilishikwa na mshtuko wa moyo kwani pale ofisini niliambiwa hamna yeyote anayemtambua Jackson, nilitamani dunia inimeze lakini tayari maji yalikuwa yamezidi unga. Nilijaribu kumpigia Jackson ili kumtishia aweze kurudisha fedha zangu lakini namba yake ilikuwa haipatikani.

Nililazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku saba kwani mshtuko wa moyo ulinishika, ilibaki kidogo tu nifariki, baada ya kurejea nyumbani, nikiwa natazama taarifa za habari nilioona picha za yule Jackson, kumbe alikuwa ni mwizi sugu aliyelaghai raia kwamba alikuwa na uwezo wa kuwapa kazi mbalimbali.

Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kutapeliwa, Benki niliyokopa ilianza kunifuata kwani deni lao lilikuwa limekaa muda mrefu bila kufanya marejesho yoyote.

Nilikumbwa na msongo wa mawazo nisijue la kufanya kwa wakati ule, huku nikifahamu fika iwapo ningempata Jackson alipokuwa amejificha nigepata Ksh2 milioni ambazo serikali ilitangaza kumpatia yeyote atakayefanikisha kupatikana kwake.

Baada ya siku chache nilikutana na tovuti www.african-doctors.com ambayo ilikuwa na ushuhuda za watu mbalimbali ambao walitapeliwa fedha na mali zao lakini kwa msaada wa African Doctors wakafanikiwa kupata vitu vyao.

Sikusita na hapo nikawapigia African Doctors, siku iliyofuata nilienda Ofisini kwao na baada ya mazungumzo mafupi wakanihudumia kwa haraka.

Baada ya siku moja, nilipigiwa simu na Jackson, alitaka tukutane kwani alitaka kunipa Ksh700,000 na fedha nyingine kama fidia na nisiweze kuwaambia Polisi sehemu alipo.

Basi tulikutana na Jackson na akanipa Ksh700,000, lakini tayari nilikuwa nishawafahamisha Polisi, hivyo mara moja walikuja na kumkamata, baadaye jioni taarifa zilienea kote kuwa mimi ndiye niliyefanikisha kukamatwa kwa Jackson na kupatiwa Ksh2 milioni.

Alifungwa jela na mali zake kuuzwa na kuwalipa watu aliowaibia, ama kwa hakika African Doctors ni mtu wa kuaminika sana ukanda wa Afrika Mashariki.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com
au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Mwisho.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post