MECHI 13 ZAMPATIA MAMILIONI MERIDIANBET


Ukiwa na dau lolote unaweza kucheza na kuibuka mshindi kwa sababu Meridianbet wanatoa odds kubwa kwa kila mechi unayobashiri wakati huo ukifurahia kucheza sloti na kasino ya mtandaoni.

 

Hatimaye Meridianbet wamemtanganza mshindi ambaye alijilipua kinouma kwa kuweka dau la Tsh 1,000,000/= kisha akabeti mechi zake 13 za uhakika huku akihakikisha jamvi lake lina odds kubwa.

 

Akifahamika kwa ufupi kama S.S na namba yake ya akaunti ya Meridianbet ni 1156880667148 unaweza kuitafuta na kuona jinsi gani alivyopangilia machaguo yake na kufanikiwa kuibuka mshindi na kuwa Milionea mpya kitaa, Tsh 14,146,156/= ndio pesa alizoshinda na kupewa na Meridianbet huku akiwa na uhakika wa kuishi kabisa.

 

Orodha ya mabingwa haikuishia hapo tu, wiki hii licha ya ligi kubwa duniani kufika tamati bado kuna mechi zinaendelea na kama ukituliza akili ukatengeneza jamvi lako lenye odds kubwa unaweza kupiga mtonyo mrefu tu kama hawa wengine.

 

Huyu anafahamika kwa ufupi kama S.G aliweka dau la Tsh 1.4m kisha akachagua mechi zake 4 za uhakika zikiwa na odds kubwa kisha akapiga mpunga kiasi cha Tsh 4,206,171

 

Mwsho kabisa katuna na hii funga mwaka, Imagine kwa dau la Tsh 7,500/= lilitosha kabisa kumpa ushindi wa Tsh 2,058,427 mteja huyu aliyechagua mechi zake 10.

 

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post