Breaking : EASTL YATAMBULISHA BIA MPYA 'GOLDBERG na HANSON'S LITE


Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) Shinyanga inayotengeneza vinywaji vya Diamond Rock na Hanson's Choice imetambulisha rasmi vinywaji vipya (Bia Mpya) maarufu Goldberg na Hanson's Lite.

 EASTL imetambulisha Goldberg na Hanson's Lite leo Ijumaa Julai 28,2023 kwenye viwanja vya Sabasaba Mjini Shinyanga ambapo Mkesha wa Mwenge wa Uhuru unafanyika.

Goldberg na Hanson's Lite vimepokelewa kwa kishindo ambapo wadau wamejitokeza kwa wingi katika Banda la EASTL kupata na kufurahia vinywaji hivi vya kipekee na ladha ya kipekee sana!! Tayari vinywaji hivi vipo mtaani...!!

Wasiliana nasi :
East African Spirit (T) Ltd
P.O.Box 707 Shinyanga, Tanzania
info@eastafricanspirits.com
+255767650806 | +255652096254

Wadau wakiwa katika banda la EASTL wakijipatia Goldberg na Hanson's Lite mkesha wa Mwenge wa Uhuru

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments