
Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dodoma inasikitika kutangaza kifo cha Mwanachama wao Magreth Tengule kilichotokea Jijini Mwanza.
Tutaendelea kutaarifiana taratibu za mazishi.
Bwana alitoa, Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe Amina
Fred Alfred
Kaimu Katibu
Post a Comment