SLOTI YA ODD ONE OUT INAKUPA USHINDI MKUBWA


 


Sloti ya Odd One Out

Ligi nyingi zimeisha na kupisha dirisha la usajili ili kujiimarisha Zaidi kwa msimu ujao, nataka kusema na wadau wa kubeti, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni chimbo jingine la kuendelea kupiga hela haswa kwa wachezaji wa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti kama hii ya Odd One Out.Kupitia sloti hii, Meridianbet kasino ya mtandaoni inakupa njia 243 za kutengeneza ushindi, unaanzaje kushindwa kuwa bilionea? Mchezo huu una mfumo wa safu 5 kwa 3, huku ukiwa na mpaka mistari 243 ya ushindi.Namna ya Kucheza sloti ya Odd One Out

Ukifungua Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, tafuta mchezo wa Odd One Out. Weka dau lako kwa mfumo wa sarafu yaani “coin”. Baada ya hapo bonyeza kitufe cha alama ya mzunguko kilichopo katikati kuanzisha mchezo wa kasino ya mtandaoni. Baada ya hapo subiria ushindi mnono.Njia za Ushindi Katika Sloti ya Odd One Out

Kasino ya mtandaoni hii ina alama nyingi, lakini kuwa makini. Alama ya chungwa inaweza kukupa mpaka sarafu 400!Sloti ya Odd One Out, inaweza kukupa zawadi nyingi zaidi ya pesa! unapocheza Odd One Out utapata bonasi ya mizunguko ya bure, na alama ya Wild ambayo inakupa ushindi mnono kwa kukupa mara mbili ya ushindi wako endapo utaipata katika ushindi wako. Usisahau kuwa, mchezo huu pia unaweza kukurudishia mpaka 96.04% ya dau lako!Wkati mismu wa ligi nyingi umemaliza, ni muda sasa wa kuelekeza nguvu kwenye kucheza kasino ya mtandaoni ili kukusanya maokoto mengi Zaidi, na kubwa Zaidi sloti nyingi za Meridiabet zinakupa bonasi kibao.


NB: Kingine ni kwamba ukijisajili Meridianbet unazawadiwa mizunguko ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili hapa.

 

 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post