TENGENEZA FAIDA UKICHEZA SLOTI YENYE HADHI YA ULAYA



Sloti ya European Roulette

 

Ikiwa na mandhari ya ulaya inakupa urahisi Zaidi wa kupiga mtonyo kwa dau lako uliloweka, ina namba 36 za ushindi hii ni sloti ya European Roulette kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ingia mchezoni kusaka mawindo yako.

 

European Roulette ni moja wa michezo ya kasino ya mtandaoni rahisi na inayopendwa na wachezaji wengi, mchezo huu umetengenezwa na Habanero. Ambapo Meridianbet kasino ya mtandaoni imekusogezea mchongo huu rahisi wa kutengeneza mkwanja.

 

Mchezo huu una gurudumu la Roulette lenye namba, mpira na meza yenye namba za kuchagua.  Chagua namba moja au kadhaa ambazo unahisi mpira utasimama, kisha acha gurudumu lizunguke likizisaka namba ulizochagua na badae kuibuka mshindi!!!

 

Unachezaje Sloti ya European Roulette?

 

Ukiwa ndani ya Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, chagua sloti ya European Roulette kisha utakutana na gurudumu la Roulette linalozunguka, meza yenye namba 36.  Weka kete zako kwa kuchagua namba unazohisi mpira wa gurudumu utafikia, kisha weka dau lako, kumbuka ushindi mkubwa Zaidi unatokana na dau kubwa uliloweka, weka dau kubwa ushinde upige mtonyo mrefu.

 

Pia unaweza kuchagua namba zote kulingana na dau lako. Katika gurudumu la namba za Roulette, utaona rangi nyekundu na nyeusi yenye namba tofauti tofauti, isipokuwa namba 0 tu ambayo ina rangi ya kijani.

 

Baada ya kuchagua kete zako vizuri, bonyeza kitufe cha “play kisha subiri shangwe la kibingwa. Baada ya ushindi, unaweza kurudia mzunguko kwa kubonyeza “Rebet”.

 

Usipoteze muda! European Roulette ndani ya Meridianbet kasino ya mtandaoni, inaweza kurudishia mpaka 98.65% ya dau lako! Ukichagua kete zako za bahati basi kwa hakika utapata ushindi mnono sana!

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye sloti na michezo ya kasino kama Poker, Aviator, Roulette.

 

N.B: Kubwa kuliko!! Meridianbet wanakupa mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kwa mteja mpya baada ya kujisajili. Unasubiri nini ingia mchezoni kufurahia ofa hizi.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post