Video Mpya : BHUDAGALA MWANAMALONJA - HISTORIA

Msanii maarufu wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja ameachia wimbo mpya unaitwa Historia... Katika wimbo huu ameelezea historia ya maisha yake..

Tazama Video Hapa chini 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post