ODDS KUBWA USIKU WA MABINGWA

 

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/K0aPCC

 

 

Usiku wa deni haukawii kukucha, ni usiku wa kutambua mbivu na mbichi Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi za raundi ya pili hatua ya robo fainali, timu gani zitatinga hatua ya nusu fainali? Odds kubwa Meridianbet mechi zote ni Chelsea vs Real Madrid, Napoli vs AC Milan, Inter Milan vs Benfica, Bayern Munich vs Man City.

 

Odds kubwa za Jumanne.

 

Meridianbet wameamua kuinogesha siku hii, wakati ambapo wengi wanasubiri kuona kama vijana wa Frank Lampard Chelsea wataweza kuwazuia vijana wa Ancelotti kufuzu nusu fainali, mchezo wa kwanza The Blues alikufa bao 2-0 huko Santiago Bernabeu bado ana nafasi ya kujiuliza nyumbani kwake.

 

Napoli hawatakuwa na jambo la kupoteza Zaidi ya kusaka ushindi wa Zaidi ya goli moja, ikumbukwe mechi ya kwanza alifungwa bao 1-0 ugenini, Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Napoli, huku Milan akipewa Odds kubwa ya 4.60 ashinde kwenye dimba la Stadio Deigo Armando Maradona Je ataweza?

 

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

 

Odds kubwa za Jumatano.

 

Dimba la Ethiad Man City walimkanda Bayern Munich mabao 3-0, leo amebadilisha uwanja lakini wachezaji ni 11 ni dimba la Allianz Arena. Odds kubwa za ushindi ni Bayern 2.69 vs 2.45 Man City, sare 3.57. Meridianbet wanakwambia CHAGUA TUKUPE iwe ni odds kubwa watakupa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubashara unaweza, michezo ya sloti kama Aviator, poker na Roulette yote unaipata kubwa Zaidi ukiona jamvi lako linataka kuchanika unaweza kucash out/Kuturbo.

 

Inter Milan ana faida ya ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Benfica, na sasa anarudi kwenye dimba la Giuseppe Meazza Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi kwa odds kubwa 2.20 vs 3.19 ya Benfica chaguo ni lako unaenda nan ani ili mkeka wako uwe salama kwa dakika 90.

 

NB: Meridianbet imekuja na Jackpoti kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

 

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments