CHUO CHA UFUNDI 'TARIME VOCATIONAL TRAINING COLLEGE' KINAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO... FANI 15 ZINAFUNDISHWA

 

Chuo cha Tarime Vocational Training College kinawatangazia nafasi za masomo kwa wanaopenda kujiunga na elimu ya ngazi ya Chuo.

Tarime Vocational Training College ni chuo cha ufundi stadi kina usajili wa NACTVET    REG/NACTVET/0587. Chuo kipo Mkoa wa Mara, Tarime Mjini, Kata ya Turwa- Mtaa wa Uwanja wa Ndege ,Kilomita Moja tu kutoka Kituo cha Mabasi, Chuo kipo jirani na Tarime Mchanganyiko Secondary School.  

 Chuo kinamilikiwa na Taasisi ya PROFESSOR MWERA FOUNDATION

Wasiliana nasi 0768901641 au 0784471566
KOZI ZINAZOTOLEWA

1. Laboratory Assistant (Kozi ya msaidizi wa maabara)

2 Tailoring (DSCT)(Kozi ya ushonaji na kudarizi)

3. MV Mechanics (Kazi ya ufundi wa magari)

4. Electrical installation (Kozi ya umeme wa majumbani na Viwandani)

5. Welding & Fabrication (Kozi ya uchomelcaji vyuma na rangi)

6. Hotel Management (Kozi ya uongozi wa hoteli)

7. Tourism & Tour guide (Kozi ya utalii na uongozaji watalii)

8. Secretarial & front office (Kozi ya Uhaili)

9. QT, PC na RESETERS Tuna kituo cha Usajili P.1590

10. Information Communication and Technology (ICT) & Basic Computer Application (Kozi ya kompyuta na utengenezaji wa kompyuta)

11. Business Operation assistant (Kozi ya usimamizi wa biashara)

12 Cage Fishing (Kozi ya ufugaji samaki katika
vizingana mabwawa)

13. Driving Course (Kozi ya Udereva wa magari)

14. Video production (recording and shooting)

15. Plumbing (ufundi bomba maji)


Kila kozi ina gharama sawa kasoro Laboratory Assistant  na zinatolewa kuanzia muda wa mwaka mmoja mpaka miaka mitatu baada ya hapo Diploma isipokuwa udereva ndiyo miezi miwili.


Tunazo Nafasi za Bweni/Boarding na Kutwa/Day ada zetu ni nafuu na zinalipwa kwa awamu.

Kozi za muda mrefu vyeti vinatoka Serikalini, kozi fupi vyeti hutolewa chuo kwa wanaofaulu.


Chuo kina mazingira mazuri na kimejipanga kusaidia Vijana wa Kitanzania kupata ujuzi wenye weledi wa kuendana na hali ya ushindani kiuchumi.

Chuo kinawatafutia wahitimu field na ajira baada ya kuhitimu na kufaulu.

WAHI NAFASI NI CHACHE


Tarime Vocational Training College ni chuo cha ufundi stadi kina usajili wa NACTVET    REG/NACTVET/0587. Chuo kipo Mkoa wa Mara, Tarime Mjini, Kata ya Turwa- Mtaa wa Uwanja wa Ndege ,Kilomita Moja tu kutoka Kituo cha Mabasi, Chuo kipo jirani na Tarime Mchanganyiko Secondary School.  

 Wasiliana nasi 0768901641 au 0784471566

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post