Tazama : MATUKIO KATIKA PICHA MSIBA WA MFANYABIASHARA MAARUFU MUSOMA FOOD

Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga mwili wa Mfanyabiashara wa nafaka mkoa wa Shinyanga Said Makilagi maarufu Musoma Food aliyefariki dunia ghafla jijini Mwanza Jumatatu Aprili 3,2023 akiwa Hotelini.

Mazishi ya marehemu Said Kate Makilagi  yamefanyika leo Alhamisi Aprili 6,2023 nyumbani kwake Kambarage Mjini Shinyanga.

Kwa mujibu wa taarifa ya familia tarehe 27.5.2021 Said Makilagi alipata ajali ya gari huko Mpanda Rukwa akapelekwa Hospitali ya Rufaa ya Bugando kwa ajili ya matibabu na kutokana na afya yake kutetereka alikuwa akipatwa matibabu Bugando, Kenya na India. 

Hata hivyo  kutokana na matibabu  hayo alipata nafuu na kwa nyakati tofauti alikuwa anapata maumivu ya kichwa na mnamo tarehe 3.4.2023 akiwa jijini Mwanza aliugua ghafla jijini akafariki dunia.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Musoma Food, Said Kate Makilagi alizaliwa 01.06.1967 alifariki dunia 03.04.2023, ameacha mjane na watoto wawili.

Tazama Picha matukio yanayoendelea muda huu...Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa mfanyabiashara Boniphace Said Kate Makilagi maarufu Musoma Food

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa mfanyabiashara Boniphace Said Kate Makilagi maarufu Musoma Food

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Mhe. Johari Samizi akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa mfanyabiashara Boniphace Said Kate Makilagi maarufu Musoma Food
Mwakilishi wa Kampuni ya Musoma Food  akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa mfanyabiashara Boniphace Said Kate Makilagi maarufu Musoma Food

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme (kulia) akiwa msibani

Soma pia :

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post