CHEZA SLOTI YA BLACKJACK LIVE UPIGE MKWANJA MREFU MERIDIANBET



Sloti ya Blackjack Live    

Moja kati ya michezo pendwa na wengi ni Sloti ya BlackJack Live, mchezo huu unapatikana kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ambapo huu unakuwa na karata 8 tu, ili ushinde unapaswa utoe karata zisizozidi namba 21, lakini pia zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo karata za mchezeshaji zitazidi namba 21.

Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack Live huku ukiwa na fursa ya faida hadi mara 100 papo hapo ya dau uliloliweka.

Jinsi ya Kucheza Blackjack Live

Unachotakiwa kukifanya ni kubashiri karata gani mchezeshaji (dealer) ataiweka mezani na kuifunua. Tofauti ya Blackjack Live na Blackjack nyingine ni kwamba, hii ina bunda lenye karata 8 na sio 52. Vilevile, mchezo huu unachezwa mubashara kabisa kutoka kwenye studio za Riga.

Kuwa makini na mchezeshaji wa Blackjack kwani, ushindi upo hapo! Pamoja na hayo, ubashiri wa karata unalipwa kwa viwango. Sloti ya Blackjack Live inachezwa kwenye meza zaidi ya moja na kila meza inaweza kuwahudumia wachezaji 7. Chaguo la Bet Behind litakupa fursa ya wewe kuweka dau hata kama umechelewa kuanza na mchezeshaji atakuelekeza nini unachotakiwa kukifanya kwenye mchezo huo.

Una sekunde 15 tu za kuweka ubashiri na mchezeshaji ataanza kuchezesha karata. Mchezeshaji atasimama kwenye 17 na Blackjack italipa 3 na zikiwa kwenye uwiano wa mara 6:1, 12:1 au 25.

Kujua kama umeshinda ni kwamba namba au herufi za karata zako zikijumlishwa hazitakiwa kuzidi 21 na zikiwa chini ya hapo unaweza kushinda endapo mchezaji karata zake zitazidi 21.

Shinda kistaa kupitia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na mchezo wa Blackjack Live.

 

NB: Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 bure ya kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, jisajili sasa.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments