UCL NA ODDS KUBWA MERIDIANBET

  Sio nyepesi kama wengi wanavyofikiria, hii ni Ligi ya Mabingwa Ulaya lolote linawezekana muda wowote Real Madrid vs Liverpool mpira ni dakika 90 huenda Liver akapindua meza kibabe au huenda Madrid akaweka rekodi nyingine kwenye vitabu vya kumbukumbu, lakini pia kuna FC Porto vs Inter Milan. Meridianbet mabingwa wa ODDS kubwa na Kasino ya Mtandaoni kwa mara nyingine wametoa machaguo kibao, takwimu za kila timu na odds kubwa. Bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

 

ODDS kubwa Leo UCL

 

Moja kati ya mechi kubwa wiki hii ukiachana na FC Porto vs  Inter, Man City na Frankfurt, kuna hii kukbwa kuliko ni Real Madrid dhidi ya Liverpool kwa mara nyingine tena wanakutana kwenye dimba lenye historia kubwa kwenye soka, uwanja uliofanya mengi Ulaya ni Santiago Bernabeu. kamata odds kubwa uziweke kwenye mkeka wako wa Meridianbet. 2.35 mwenyeji ashinde dhidi ya 2.74 Liverpool ashinde mbele ya Madrid. bashiri mubashara kupitia duka la ubashiri la Meridianbet.

 

Mechi ya kwanza Liverpool alipoteza Anfield mabao 5-2 hivyo ili afuzu hatua ya robo fainali anatakiwa ashinde 4-0, Je itawezekana mbele ya mabingwa hao watetezi wa UCL?

 

Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye michezo pendwa ya sloti kama Aviator, Poker na Roulette wameongeza machaguo Zaidi 1000+ kwenye mechi hizi za Ligi ya Mabingwa. Bonyeza hapa kuona machaguo Zaidi na mchanganuo wa odds kubwa bashiri mubashara.

 

Kitu kingine nataka nikupe mtu wangu ni jinsi ya kutengeneza mkeka na kushinda kirahisi pale Meridianbet mabingwa wa odds kubwa, nakuibia siri moja Mechi kati ya Manchester City vs RB Leipzig, ukituliza kichwa unashinda kwanza kuna machaguo mengi, na odds kubwa mechi zote za UCL unazipata. Man City ana 1.34 ashinde huku RB Leipzig ana 8.24 akishinda. Meridianbet wanakwambia CHAGUA TUKUPE iwe ni odds kubwa, Kasino ya mtandaoni, kubashiri mubashara, michezo ya sloti kama Aviator, poker na Roulette yote unaipata.

 

Wakati  FC Porto vs Inter Milan wakikipiga kwenye dimba la Estadio do Dragao, hakikisha umetengeneza mkeka wako wa ushindi kwa odds kubwa na dau kubwa ili ushinde mkwanja mrefu, timu hizi zimekutana mara 6, Milan kashinda mara 1, Porto 1 na sare ni 1, leo itakuaje? Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni ni sehemu salama ya kuweka pesa yako na kushinda kirahisi.

 

Unakamilishaje wiki yako ewe gwiji la kubashiri bila hujapita dula la ubashiri la Meridianbet?, Haiwezi kukamilika nakupa mbinu rahisi ya kutochana mkeka wako. Chagua odds kubwa, weka dau kubwa, na cheza mara nyingi Zaidi, weka machaguo yako unayoyapenda, mfano mechi ya Napoli vs Frankfurt odds kubwa ni 6.07 ya Frankfurt dhidi ya 1.50 ya Napoli ushindi na sare ina 4.30 chaguo ni lako. Kama sio mpenzi wa kubashiri soka, Chagua tukupe michezo ya kasino ya mtandaoni yenye sloti pendwa kama Aviator, Poker na Roulette. Bashiri na Meridianbet.

 

NB: Meridianbet imekuja na Jackport kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

 

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post