DUWASA YA SAINI MKATABA WA UBORESHAJI HUDUMA NZUGUNIMKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Msimamizi wa Mradi kutoka Kampuni ya Tanzania Steel Pipes, Mhandisi Emmanuel Mwambapa wakitia saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Meneja Mikataba kutoka Kampuni ya Help Desk Engineer, Godfrey Peter wakitia saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni katika hafla iliyofanyika makao makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule (wa pili kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri (wa tatu kulia) wakishuhudia Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph (kulia) na Msimamizi wa Mradi kutoka Kampuni ya Tanzania Steel Pipes, Mhandisi Emmanuel Mwambapa wakibadilishana mikataba uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni baada ya kusaini katika hafla iliyofanyika makao makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023.MKUU wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa MazingiraDodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph.

Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini uboreshaji wa huduma ya majisafi eneo la Nzunguni iliyofanyika Makao Makuu ya DUWASA leo Februari 7, 2023. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Jabir Shekimweri.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments