MERIDIANBET WANATOA ODDS NONO WIKIENDI HII


Wiki imeisha kwa michezo mbalimbali Carabao, FA, Coppa Italia lakini sasa wikiendi hii ligi zinaendelea kuanzia leo Ijumaa, EPL na Ligi nyingi zitatimua vumbi kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wanatoa ODDS Nono na Machaguo Zaidi ya 1000+

Mechi kalii za leo, baada ya Tajiri wa Chelsea kutumia takriban paundi 300m kwenye usajili wa dirisha dogo, akiwaleta nyota kama Enzo Fernandez, Mudryk, Malo Gusto na Joao Felix, leo usajili mpya utaanza kufanya kazi ya kuwapa furaha mashabiki wa Chelsea ni dhidi ya Furham. Meridianbet ukiweka dau lolote unapata kubwa Zaidi, bashiri sasa.

Ujerumani kutawaka moto nyasi za dimba la Augsburg Arena mchezo kati ya Augsburg mwenyeji wa Leverkusen, kwenye msimamo wa Ligi Augsburg yupo nafasi ya 14 na alama 18 huku Leverkusen yupo nafasi ya 9 na alama 24. Bashiri na Meridianbet kuna odds nono zinatolewa kila mechi.

Usifikiri Cristiano Ronaldo kwenye Saudia safari yake imeisha hapana, leo watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Al Fateh, hii nayo unaweza kuiweka kwenye mkeka wako huenda ikakupatia ushindi mnono.

Vinara wa EPL Vijana wa Mikel Arteta watashuka dimbani kukipiga na Everton, unadhani Arsenal ataendeleza makali yake akiwa ugenini bashiri mechi hii ina ODDS nono ya 7.25 ya Everton huku Arsenal akiwa na 1.42.

Manchester Utd atakipiga na Crystal Palace kwenye dimba la Old Trafford. Newcastle ni kama wamezamilia kufanya makubwa Zaidi msimu huu, wikiendi hii tena watashuka uwanjani kuwakabili West Ham, na Wolves watakuwa wenyeji wa Liverpool.

Jose Mourinho atakuwa na kibarua kingine tena baada ya kupoteza mchezo wa dabi, atawakaribisha Empoli waliopo nafasi ya 10 Serie A kwa alama 26, ODDS Nono zikisindikizwa na Machaguo kibao Meridianbet ni 1.47 ya Roma vs 6.66 ya Empoli.

Jumapili ni Spezia dhidi ya Napoli kinara wa Ligi kwa pointi 53, Kubwa Zaidi ni Milan Dabi kati ya Inter vs AC Millan ina Odds nono kubwa machaguo kibao, AC Millan ana odds nono ya 3.77

Manchester City atakuwa ugenini kwenye dimba la Tottenham, ni vita ya wafungaji wakali wawili Halaand vs Harry Kane nani kuibeba timu yake? Bashiri Meridianbet.

Laliga nako unaambiwa kuna mechi kubwa zitachezwa, Meridianbet inakukumbusha tuusiache kutabiri wikiendi hii, watakapocheza Barcelona dhidi ya Sevilla ODDS Nono Barca 1.32 vs 8.82 ya Sevilla, Mallorca atamkaribisha Real Madridi anayetafuta nafasi ya kuongoza Ligi, hii nayo sio ya kukosa hata kidogo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments