LICHA YA KUWA BINTI MZURI NILIVUTA SIGARA, ILA DAWA HII IMENIOKOA


Naitwa Mage, tangu nikiwa shule nilikuwa napenda sana na kuvutiwa na Sigara lakini kutokana na mazingira ya shule zetu hizi za boarding nikashindwa kufanya nachotaka na ninachopenda.

Hivyo baada ya maisha ya shule nikaanza maisha jipya na ambayo nilikuwa na nayafurahi tangu nikiwa mdogo, nayo ni kuvuta sigara.

Kutokana na mazingira ya uswahilini kwa mwanamke ukionekana kwa public unapiga vyombo kama hivyo basi utaitwa majina yote mbaya.

Hivyo nikaamua napiga vyombo kwa home au zile sehemu za starehe lakini zenye watu wanaojielewa na vile nilikuwa Rasi kwa hiyo hakuna hata mtu alikuwa na muda wa kunishangaa, maisha yanaendelea.

Maisha ya kaenda miaka ikaongezeka lakini niona it's too much kwa kweli kwani navuta sigara paketi moja hadi moja na nusu kwa siku, nikaona kabisa ni hatari kwa afya yangu na nimeshakuwa na urahibu.

Kuna siku nilisahau kuwa na stock ndani, basi ile nataka kupiga fegi kabla ya kulala si stock imekauka! Daah kucheki maduka ya jirani yamefungwa, niliwasha gari kwenda kununua! Sikuweza kuvumilia kupitisha usiku ule bila kuvuta!

Nilijitahidi sana kuacha lakini nikawa nashindwa, nilikuwa naweza kukaa masaa hasa nikiwa busy,ila nikishakula tu lazima kiu inibane sana! piia nikigusa pombe tu, basi naunga tu moja baada ya nyingine!.

Ilifikia hatua nikachoka mtindo huo wa maisha, kwa bahati nzuri katika mitandao ya kijamii nikaona kuwa AfricanDoctors wanatoa huduma ya kumuwezesha mtu kushinda hali ya utaji wa sigara. Nashukuru waliweza kunisaidia na sasa ni miaka zaidi ya saba sijavuta sigara na hata nikisikia harufu yao najisikia vibaya.

Wasiliana na AfricanDoctors kwa namba +254719153099.

Mwisho.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post