MENEJA WA TCRA KANDA YA ZIWA MHANDISI FRANCIS MIHAYO ATEMBELEA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA SHINYANGA

Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo ( wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga alipotembelea Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa  Shinyanga (Shinyanga Press Club - SPC) leo Jumatatu Desemba 5,2022

Mkurugenzi wa Malunde 1 blog, Kadama Malunde (kushoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) Kanda ya Ziwa  akizungumza jambo na Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo alipotembelea Ofisi ya Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa  Shinyanga (Shinyanga Press Club - SPC) leo Jumatatu Desemba 5,2022
Mwandishi wa Habari wa Redio Kwizera Mkoa wa Shinyanga , Amos John maarufu MC Mzungu Mweusi akizungumza jambo na Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments