WABUNGE WAPITISHA KWA KISHINDO MAREKEBISHO YA KANUNI ZA BUNGE LA AFRIKA 'PAP'


Wabunge wa Bunge la Afrika (PAP) wamepitisha kwa kishindo marekebisho ya Kanuni  za Bunge la Afrika baada ya kuendesha mijadala mbalimbali kupitia Kanda mbalimbali.

Wamepitisha Kanuni na Sheria za Bunge leo Alhamisi Novemba 3,2022 katika Kikao cha nne cha Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP)


Discussion on amendment of PAP rules of procedure
👇👇

Tazama Matukio katika Picha - Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni na Sheria za Bunge la Afrika (PAP) akiwasilisha taarifa kuhusu Mabadiliko ya Kanuni za Bunge la Afrika leo


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post