Video Mpya : SOLEMZO P - ISSUES

Anaitwa Solomon Ogbeide ambaye anawakilisha Esan Igueben katika jimbo la Edo huko Nigeria. Solemzo P ni mwanamuziki

wa miondoko ya Afro Hippo pamoja na Afro Beat ambaye makazi yake ni nchini Marekani.


Licha ya kufanikiwa kufanya muziki na kufanikiwa kuachia ngoma kadhaa miaka kadha nyuma Solemzo ameamua kurejea tena kufanya muziki rasmi akiwa na nia ya kufanya mambo makubwa zaidi huku moja ya msanii ambaye amemvutia sana ni Wizkid kutoka Nigeria


Solemzo P ameachi ngoma yake mpya aliyoipa jina la Issues ambayo unaweza kufurahia kupitia youtube vile vile kupitia instagram yake @solemzo kwa kuwa karibu zaidi na muziki wake.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post