BAD BOY TIMZ KUJA KIVINGINE HIVI KARIBUNI

Alifanya vizuri na kazi kadhaa ikiwemo Check and Balance, Mj, Complete me ,Move pamoja na Have Fun lakini hivi karibuni ameachia wimbo wake uitwao Iz going unaoendelea kufanya vizuri katika mahadhi ya Afro beat akiwa anawakilisha nchini Nigeria.

Bad Boy Timz ni moja kati ya msanii anayefanya vizuri nchini Nigeria huku akiwa anakuja vizuri zaidi kuliteka soko la muziki kimataifa zaidi.

Timz ana mpango wa kuachia kazi mpya hivi karibuni ikiwa imeambatana na zawadi nyingine kubwa zaidi kwa mashabiki zake kwa maelezo zaidi fuatilia ukurasa wake wa instagram pamoja na kufanya ku subscribe kupitia chaneli yake ya youtube.@badboytimz

Tazama Video ya Is Going ya Bad Boy TimzDownload/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post