HII NDIYO TRENI YA UMEME YENYE KASI KUBWA ZAIDI KULIKO ZOTE DUNIANI


Shanghai Magrev

SHANGHAI Magrev ni treni (gari moshi) iliyoweka rekodi mwaka (2022) kuwa Treni ya umeme yenye kasi zaidi kuliko zote duniani yenye kasi 431 km/h.

Muonekano wa ndani wa Treni

Treni hiyo imetengenezwa mwaka 2010 nchini China na ni Treni yenye urefu wa futi 504 na uwezo wa kubeba abiria 574.

Treni inaweza kubeba abiria 574

Licha ya kuwa ni treni yenye kasi zaidi lakini pia ina muonekano mzuri wa nje na ndani na huduma bora kwa abiria wake na usichokijua ni kwamba ikiwa ipo katika mwendo kasi wake inaweza kutumia dakika 7 hadi dakika 20 kutembea kilomita 30, vilevile ina madaraja mbalimbali kama vile VIP na daraja la kawaida.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post