RADI YAUA WATU WATATU WA FAMILIA MOJA - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Thursday, August 18, 2022

RADI YAUA WATU WATATU WA FAMILIA MOJA

Watu watatu wa familia moja, wakazi wa kitongoji cha Idoselo, Kijiji cha Kasesa Kata ya Kaseme mkoani Geita wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua kali iliyonyesha Agosti 16, 2022, majira ya saa 5:00 asubuhi.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages