MAKARANI WAIBIWA VISHIKWAMBI SIMIYU

Makarani wawili wa Sensa katika kata ya Lamadi Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wanachunguzwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za wizi wa vishikwambi vya sensa ya watu na makazi inayoendelea nchini.

Mkuu wa Wilaya ya Busega Gabriel Zakaria, amesema Makarani hao Saphina John na Yona Mwalongo kwa pamoja wameibiwa vishikwambi hivyo majira ya saa tisa usiku wa kuamkia Agosti 26,2022 wakiwa wamelala ndani ya nyumba katika Mji wa Lamadi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post