USHINDI MTAMU: BONDIA YUSUF LUCASI CHANGALAWE APONGEZWA KUTWAA MEDALI YA SHABA


Bondia Yusuf Lucasi Changalawe akipongezwa kwa kutwaa medali ya Shaba leo na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Dkt Asha Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamadun, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu, Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na Mkuu wa Msafara wa Team Tanzania katika Michezo ya Jumuiya ya Madola (TOC), Henry Tandau, Naibu Katibu Mkuu TOC Suleiman Mahmoud Jabir, Kocha wa Ndondi wa Timu ya Taifa Timothy Kingu na Mabondia Isendi na Kassim Selemani Mbundwike.
Bondia Yusuf Lucasi Changalawe akipongezwa na mama mshabiki wa Team England baada ya kutwaa medali ya Shaba
leo katika ukumbi wa NEC jijini Birmingham, Uingereza

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post