YANGA SC YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU SPORTPESA, YALAMBA BILIONI 12 - MALUNDE 1 BLOG | Fahari ya Shinyanga

Breaking

Wednesday, July 27, 2022

YANGA SC YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU SPORTPESA, YALAMBA BILIONI 12*******
Rasmi Kampuni ya Kubashiri ya SportPesa imesaini mkataba wa Kihistoria na Young Africans SC wa Miaka Mitatu wenye thamani ya Sh. BIllion 12.335 kama mdhamini mkuu.
Yanga Sc imesaini mkataba huo mara baada ya mkataba wa awali kumalizika.

Fedha hizo Yanga Sc itakuwa inalamba Bilioni 4 kwa kila mwaka .

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Pages