RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI MUDA HUURais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi.

Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huu unaanza mara moja.Zuhura Yunus

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post