POMBE HARAMAU YAUA WATU ZAIDI YA 30Wahanga wa ulevi wakiwa mahututi tayari kwa kuwahishwa Hospitalini
**
WATU 31 wameripotiwa kufariki kutokana na sumu ya pombe katika eneo la magharibi mwa India katika Jimbo la Gujarat.

Zaidi wengine 40 wanatibiwa Hospitalini, wengi wao wanasemekana kuwa katika hali mbaya
Mtumiaji wa pombe akiwa anapewa matibabu ya awali kabla ya kuwahishwa Hospitalini

Polisi wamekamata watu watano wanaoshukiwa kuhusika na tukio hilo. Gujarat inapiga marufuku unywaji wa pombe, lakini bado uzalishaji haramu wa pombe unaendelea kustawi.


Kwa mujibu wa vyanzo vya Habari vya Serikali, pombe hiyo iliyokuwa ikitumiwa na wahanga hao ilikuwa ikiuzwa kinyume cha sheria mkoani umo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post