NINALIPA KODI KWA KUCHEZA ONLINE CASINO SOKABET


Ni kweli kila mtu ana bahati yake lakini endapo ukawekeza upande ambao ni ngumu kutoboa, utaishia kulalamika kila wakati. 


Katika kutafuta maisha nilishapata nafasi ya kwenda kwenye nyumba za kasino kadhaa ili nibusti maisha ila nikaishia patupu kwani nilitakiwa niingie na pesa nyingi ndio nicheze, nisijue kuna online casino ambayo unaweza kucheza mpaka kwa shilingi 200 tu na kushinda pesa nyingi kwa kutumia simu janja. 

Baada ya kushtuka nikahamia kwenye ulimwengu wa casino mtandaoni ya Sokabet. Sina uzoefu wa siku nyingi lakini nimekutana na faida lukuki tofauti na kuingia kabisa kwenye nyumba za kasino.

 Mfano online casino ya Sokabet kuna michezo zaidi ya 5000 ambayo unaweza kupiga pesa mtandaoni na ukiwa mahali popote. Kuna Zeppelin, Sloti, casino mubashara nk.

Unaweza kuniuliza kuwa nawezaje kuujua mchezo fulani kama sijaufanyia mazoezi? Ukweli ni kwamba unaweza kucheza Sloti bila pesa kabisa. Sloti ni kama yale madubwi ya mtaani tunayochezea kwa shilingi 200. 

Kwahiyo, ukiingia kwenye menyu ya Sloti utatakiwa uchague kucheza kwa pesa halisi au mchezo wa bure.

 Nilipojua hilo nikawa nacheza bure kwanza ili niongeze uzoefu na kujiamini. Baada ya kuuelewa mchezo ndipo nikaingia mzigoni na kutoka hapo mambo yamebadilika kabisa. Sio mbaya kama ukijisajili na ujaribu bahati yako.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments