IGP WAMBURA : TUMEJIPANGA VYEMA UJIO WA MARAIS (EAC)

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura

Na Abel Paul -Afisa habari Jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura amewaomba wananchi hususani wakazi wa Jiji la Arusha kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa za wahalifu na wale wote wenye nia ya kuchafua taswira nzuri ya nchi na jiji la Arusha, ambapo amesema Jeshi la Polisi limejipanga vyema kuhakikisha amani na utulivu unakuwa wakutosha ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wanaofika nchini Tanzania.


IGP Wambura amesema hayo leo Julai 21 2022 jijini Arusha wakati akitoa taarifa juu ya ujio wa Marais wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambao watafanya mkutano huo jijini Arusha siku ya tarehe 22 Julai 2022.


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post