SHULE 10 BORA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2022...TAZAMA HAPA MAJINA YOTE

  

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.

Zifuatazo ni shule 10 bora;

10. Ziba, Tabora - Shule ya Serikali

9. Mkindi, Tanga - Shule ya Serikali


8. Mzumbe Sekondari Morogoro, Shule ya Serikali

7. Nyaishozi Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi

6. Dareda Sekondari Manyara - Shule ya Serikali

5. Ahmes Sekondari Pwani - Shule ya Binafsi

4. Tabora Girls Tabora - Shule ya Serikali

3. Tabora Boys Sekondari Tabora -Shule ya Serikali.

2. Kisimiri Sekondari Arusha - Shule ya Serikali.

1. Kemebos Sekondari, Kagera - Shule ya Binafsi.
Bofya kuona matokeo

MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2022

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post