KAMISAA WA SENSA ANNE MAKINDA AKUTANA NA WADAU SHINYANGA...."TUTAKUSANYA TAARIFA ZA KAYA SIYO FAMILIA... WAPANGAJI NI KAYA"

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda akizungumza na wadau mkoa wa Shinyanga Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na kuzungumza na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga  ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Shinyanga yenye lengo la kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022.

Akizungumza na wadau hao Makinda amesema maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi yanaendelea vizuri huku akisisitiza Uzalendo kwa wananchi ili kufanikisha zoezi hili ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa sahihi kwa Makarani wa Sensa.

 Makinda ameagiza elimu na hamasa ya Sensa ya watu na makazi iendelee kutolewa kila mahali hadi siku ya Sensa Agosti 23,2022 ili kuhakikisha kila mwananchi anapata taarifa na kuelewa kuhusu Sensa kwa maendeleo ya taifa.

"Siku ya sensa wananchi wanatakiwa kutoa taarifa za ukweli. Msiwafiche watu wenye ulemavu",amesema Makinda.

"Sensa ya watu na makazi itafanyika Tarehe 23 Agosti. Mkuu wa kaya awe na taarifa za watu waliolala usiku wa Agosti 23,2022. Taarifa za watu wenye ulemavu zikusanywe ili kusaidia serikali kupanga mipango kwa watau wenye ulemavu ili wapate huduma wanazotakiwa wapate",ameongeza.

"Makarani wa Sensa watafika katika kila kaya. Kwa wale wapangaji wako katika nyumba hizo ni kaya, wewe mwenye nyumba siyo kaya. Mpangaji kwenye nyumba yako atahesabiwa kuwa ni kaya. Kila mtu aliyelala ndani ya mipaka ya Tanzania atahesabiwa",amesema Makinda.

Naye Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Pastory Ulimali amesema Dodoso la Sensa litakusanya taarifa za kaya siyo familia huku akibainisha kuwa  siyo lazima mkuu wa kaya awe baba au mama, mkuu wa kaya anaweza kutoa maelekezo kwa mtu mwingine katika kaya kwa niaba ya mkuu wa kaya ili kutoa taarifa kwa makarani wa sensa watakaotembelea kaya husika.

"Sensa hii inawahusu watu wote awe mgeni au mwenyeji, ilimradi huyo mtu amelala ndani ya mipaka ya Tanzania usiku wa Agosti 23,2022, Kila mtu atahesabiwa. Kila mtu ahesabiwe mara moja tu na kila mmoja afanye uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ili zoezi hili lifanyike kikamilifu. Na kwa mara ya kwanza nchini Tanzania mbali ya kuhesabu watu pia tutahesabu majengo tukitumia vifaa vya kidigitali - Vishikwambi",amesema Ulimali.

#Sensa kwa Maendeleo
#Jiandae kuhesabiwa
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Joseph Mkude akizungumza wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022
Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Pastory Ulimali akitoa elimu ya Sensa ya Watu na Makazi wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022

Meneja wa Takwimu Mkoa wa Shinyanga Eliud Kamendu akizungumza wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga
Mwenyekiti wa SHY TOWN VIP, Mussa Ngangala akizungumza wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga 
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Mkoa wa Shinyanga , Richard Msanii akizungumza wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga 
Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Pastory Ulimali
 akionesha Kishikwambi kitakachotumika kukusanyia taarifa kwenye zoezi la Sensa ya Watu na Makazi wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022
Wadau wakiwa ukumbini wakati Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi Tanzania Bara Mhe. Anne Makinda ambaye ni Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipokutana na wadau mkoa wa Shinyanga leo Jumatatu Julai 4,2022 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga wakati akiendelea kutoa elimu ya Sensa na kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23,2022

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments