BARRICK ILIVYOSHIRIKI KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA CANADA


Balozi wa Canada nchini Mh. Pamela O'Donnell (wa pili kutoka kushoto) akigonga glasi na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Barrick wakati wa hafla ya kuadhimisha Siku ya Canada iliyofanyika nyumbani kwa balozi jijini Dar es Salaam. 

Kampuni ya Barrick nchini Tanzania imekuwa mmoja wa wadau wakuu waliofanikisha maadhimisho ya Siku ya Canada, ambapo baadhi ya wafanyakazi wake walishiriki katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi wa Canada nchini Masaki jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi maalum,Dk.Doroth Gwajima (aliyevaa kofia) wakati wa hafla hiyo. Barrick ni mmoja wa wadau waliofanikisha hafla hiyo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Barrick waliohudhuria katika hafla hiyo wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Canada nchini,Mh. Pamela O'Donnell.
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post