RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI UGHAIBUNI (DIASPORA) WANAOISHI NCHINI OMAN


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Oman (Diaspora) katika eneo la Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.


Watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Oman wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Mkutano uliofanyika eneo la Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments