IGP SIMON SIRRO AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amefanya uhamisho na mabadiliko kwa baadhi ya maofisa wa polisi wa mikoa.

Kupitia taarifa iliyotolewa leo Alhamisi Juni 16, 2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi SACP David Misime,imeeleza kuwa aliyekuwa Kamanda wa Polisi Tarime Rolya Kamishna msaidizi wa polisi ACP William Mkonda anakwenda kuwa Mkuu wa Kikosi cha usalama Barabarani kanda Maalum ya Dar es Salaam akichukua nafasi ya Kamishna Msaidizi ACP Abdi Isango ambaye atakuwa Mkuu wa Opereshen Mkoa wa Mbeya..Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post