AKIBA COMERCIAL BANK YAKUTANA NA WATEJA WAKE JIJINI MWANZA


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel akizungumza na wageni waalikwa alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa wateja wa Akiba Commercial Bank na wafanyabiashara wa jiji la Mwanza ulioitishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Silvest Arumasi katika ukumbi wa Mwanza Hotel Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bw. Silvest Arumasi akizungumza na wateja katika mkutano walipokutana hivi karibuni Mkoani Mwanza
Wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakifurahia jambo patika mkutano na uongozi wa benki hiyo hive karibuni Jijini Mwanza   Wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakifurahia jambo patika mkutano na uongozi wa benki hiyo hive karibuni Jijini Mwanza Wafanyakazi wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakiwa tayari kuwapokea wateja mbali mbali wa Benki hiyo hivi Runde Jijini Mwanza Meneja wa Tawi la Mwanza Herieth Bujiku akizungumza na wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania mara baada ya kukutana nao hivi karibuni Jijini Mwanza[/caption] Meneja wa Tawi la Mwanza Herieth Bujiku akizungumza na wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania mara baada ya kukutana nao hivi karibuni Jijini Mwanza Wateja wa Benki ya Akiba Comercial Tanzania wakipata Chakula mara baada ya kukutana na Uongozi wa Benki hiyo hivi karibuni Jijini Mwanza .

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments