Picha : RAIS SAMIA AWASILI BIHARAMULO KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi pamoja na Wananchi wa Biharamulo Stand alipowasili Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu inayoanza tarehe 08 Juni, 2022.

   

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post