RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour uliofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, Mwenyekiti wa Kamati ya Royal Tour Dkt. Hassan Abbas pamoja na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakitazama Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre tarehe 08 Mei, 2022 Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa katika uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre tarehe 08 Mei, 2022Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Philip Isdor Mpango, Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla, Mwenyekiti wa Kamati ya Royal Tour Dkt. Hassan Abbas pamoja na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakitazama vikundi mbalimbali vya ngoma za asili wakati wa shamrashamra za uzinduzi wa Filamu ya Tanzania The Royal Tour katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre tarehe 08 Mei, 2022

Wajumbe wa Kamati ya Tanzania The Royal Tour wakifurahia Tuzo yao waliokabidhiwa na Bodi ya Filamu na Shirikisho la Filamu Tanzania kutokana na kazi kubwa waliofanya wakati wa utengenezaji na Utangazaji wa Filamu hiyo ya Tanzania Royal Tour


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Tanzania The Royal Tour Dkt. Hassan Abbas mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Julius Nyerere Conventional Centre Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Filamu ya hiyo tarehe 08 Mei, 2022

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments