.webp)
Jina langu ni Julio, kijana wa miaka 25 ambaye
najishughulisha na Ujasiriamali hapa jijini Dar es Salaam, kutokana na
mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na kurejea
usiku.
Nakumbuka kuna siku katika pilikapilika zangu ndani ya
jiji, nilipumzika sehemu nikawa najisomea gazeti, nikakutana na tangazo la Dr. Kiwanga ambalo lilieleza miongoni
mwa huduma anazotoa ni pamoja na kuongeza mvuto wa kimapenzi.
Nilitamani sana kujua mtu mwenye mvuto wa kimapenzi
anakuwaje, hivyo niliamua kuchukua namba yake ambayo ni +254 769404965 na kumpigia. Nilimwambia kuwa nahitaji huduma hiyo.
Akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani ndani ya siku tatu nitapata matokeo mazuri
ajabu maishani mwangu.
Kesho yake wakati nimerudi nyumbani nilimkuta mama
mwenye nyumbani ameketi nje, aliniambia siku hiyo nisipike kwani kwake amepika
chakula kingi sana, hivyo nitaenda kula kwake baada ya kuoga. Nilipomaliza
kuoga nilienda kugonga mlango wake, alipokea na kuniambia siku nyingine
nikitaka kuja wala nisigonge bali niingie tu.
Nilikaa kwenye sofa na akaniletea chakula, cha ajabu
alikuja akaa pembeni yangu, wakati nikila akawa ananipapasa mgongoni, mara
akaniomba anivue shati kwa madai joto limezidi ndani na anaona mwili wangu
umechemka sana. Nilimwambia haina shida kwani namalizia kula nitatoka nje
kwenye upepo.
Baada ya kumaliza kula sikutaka kuendelea kukaa pale
ndani, nilitoka nje huku yeye akinisistizia niendelee kuwa naye maana hana hata
mtu wa kuzungumza naye. Sikujali hilo nilitoka na kwenda kwenye chumba changu
na kuchukua maji nikaenda kuoga tena ili niweze kulala.
Nilipotoka kuoga nilikuta SMS yake kwenye simu
akiniambia kuwa ananipenda na angependa kama nitamkubalia niwe mpenzi wake,
aliomba sana nisije kumkatalia kwani yeye hajiwezi tena kwangu. Niishiwa nguvu
na kujiuliza maswali mengi, nilimjibu kuwa nina mpenzi wangu tayari.
Aliniambia yeye atakuwa ananipa fedha za matumizi na
chochote nitakacho, kikubwa zaidi nitakuwa naishi katika nyumba yake bila
kulipa kodi, hilo ndilo limenichanganya sana maana nahitaji fedha hizo.
Kiukweli huyu mama mwenye nyumba ni mzuri sana na
mkarimu, mwenyewe natamani sana kuwa naye ila ndio hivyo nina mpenzi wangu ila
hizi ahadi alizonipa ukichanganya na uzuri wake nashindwa kumkatalia moja kwa
moja.
Vijana wa mjini huwa wanaiita hii ni zali la mentali,
leo limenitembelea nami, naweza nikimkubalia na mpenzi wangu akaja kugundua
itakuwaje maana huyu mama mwenye nyumba siwezi kuja kumuoa wala yeye hawezi
kukubali kuolewa na mimi. Je, fanyaje?, naombeni ushauri.
Social Plugin