AZUA GUMZO BAADA YA KUAGIZA NYUMBA KUTOKA CHINA..AIWEKA KWENYE UWANJA WAKEPicha ya tukio wa jamaa aliyeagiza nyumba ya kontena
**
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Zackary South kutoka Marekani ame-make headlines baada ya kuagiza nyumba ya Kontena kutoka China mpaka Marekani kisha kuiweka kwenye uwanja wake.

Unaambiwa Nyumba hiyo ya Kontena imetumia muda wa miezi mitatu kufika Marekani na ina vyumba viwili, sehemu ya jiko na choo cha ndani.

Pia ameonesha watu njia mbadala ya kumiliki nyumba yako kwa kubana matumizi bila ya kutumia matofali, cement au mchanga.

Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments