Breaking

Post Top Ad

Friday, May 6, 2022

VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ Ft ZUCHU 'MTASUBIRI SANA' YAFUNGIWA..TCRA YASEMA IMEIBUA HISIA ZA DHARAU KWA DINI FLANIMamlaka ya Mawasiliano (TCRA) imeagiza kusitishwa kwa wimbo wa Diamond Platnumz Ft. Zuchu - Mtasubiri Sana, kutokana na kipande kinachomuonesha Zuchu akiimba kwaya kanisani na baadaye akaacha baada ya kupigiwa simu.

Mamlaka hiyo imesema kipande hicho kimeibua ukakasi na hisia za dharau juu ya dini/madhehebu flani.


Download/Pakua App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages