MCHEZAJI WA KIMATAIFA ISAAC SUCCESS AJAYI ATUA ZANZIBAR


Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said (katikati) akimpokea mchezaji wa kimataifa wa Nigeria anaechezea katika timu ya Udinese nchini Italy Isaac Success Ajayi (kulia) ambaye anatarajiwa kuwepo Zanzibar kwa ajili ya mapumziko ya kiangazi baada ya kumalizika kwa ligi kuu ya Italy(Serie A)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments