Wimbo Mpya wa Injili : NUHU LUVINGO - TAI

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nuhu Luvingo anakualika kusikiliza wimbo wake  mpya alioupa jina la TAI. Wimbo huu umebeba maudhui ya kitabu cha Zaburi 103:5. Ni wimbo wa kila nyakati unazopitia.

Pia siku ya Jumapili/siku ya Pasaka ataachia wimbo mwingine uitwao Kielelezo.

 Karibu sana usikilize kwa utulivu, naamini utabarikiwa kwa Jina la Yesu.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post